Friday, August 3, 2012

Sintah:Aliyepewa amepewa jamani, mimi ni msomi!



Sintah amepewa mwaliko wa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kitabu fulani so amechukua fursa hiyo kubwabwaja tena kama kawaida yake na habari ya usomi wake. Haya ndo aliyoandika, enjoy!

“Mgeni rasmi heee mbona hamna la kusema limewashuka shuu nyuso ndogo kama piritoni, Elimu ndo imenipeleka pale,na wanajua vyeti vyangu ndo maana wameniita ?hapo chachaa!

Binadamu hawezi kuzuia maendeleo yangu anachofanya ni kuyachelewesha tuu. kitabu cha siri ya mafanikio ambacho mgeni rasmi ni sintah na mabalozi wengine (utaona picha baada ya uzinduzi hukawii kuniuliza mapema hii) daah nashukuru Mungu kwa wale wanaotambua elimu yangu kunipa fursa niongee na niwaeleze wengine mambo mbalimbali,asikwambie mtu knowledge is power,kwa wale wanaouliza vyeti vyangu mtasubiri sana siku za mwanzoni nilitundika picha ya graduation na vyeti mkasema sasa mnavitaka tena vya nini?waliona wameona sasa wanaoniita wameona ndo maana wamenichagua, wanaoendelea kukataa mwisho utamkatalia israeli akija kuchukua chake,aliepewa amepewa jamani endelea ku comment vibaya wakati mimi ninawaelezea maelfu ya watu na wananisikiliza wakijua upstairs nipo fit lolest  KNOWLEDGE IS POWER.MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU.

Christine Sintah

MA International Relations & Diplomacy

BA Public Administration&Mgt

Sina la zaidi,mti wenye matunda ndio unaoshambuliwa na mawe,matofali.”


Baadhi ya maoni!

“Ila huyu mschana n mshamba sana ndyo mana anapenda kujnad sana wenzie waliosoma huwa hawana mambo ya kujnad km yy kuna watu wana degree had tano na masters hata tatu lkn yy kusoma kchocholon imekuwa tabu sana tunaomba ukiwa unajnad weka had chet chako cha dsj ulposoma certificate……ww n lmbuken wa maisha tena mshamba sana ndyo mana hata nature alkuchana live,ww ungekuwa msom na masters yako ulyokuwa nayo unaenda kutangaza kpnd cha kmbea na dida….c unajfanya superstar mbona huend kuomba wakuchomeke kwny nafac nzur serkaln……yan ww elmu bado haijakukomboa coz tunasoma ili elmu itukomboe lkn mwenzetu ww bado n mshamba tena sana ila co kosa lako huwa wanasema watu wafup mnamatatzo tena sana kwnz blog yenyewe ya ajaab mpaka kero, hujui kuandka kswahl kzur unapenda kuiga iga fanya ww km ww co unacopy nakupaste hlf unajiita msomi huna creativity yoyote……mm ningekuona mjanja hata km unatangaza ungeandaa kpnd cha kwako ww mwenyewe ambacho hata mtu akcklza anasema kwel ww msom lkn unaenda kutangaza mipasho na yule shangng……ur fool.”

Mwingine: “Hiv hii MA Sinta shostito inakusaidia kwel? na the aim ya kusoma kwako n kupata pesa or z just 2 hav knowledge ili 2kudifferentiate na sis ambao ha2jasoma? GEa Habibu wa Clouds FM kaishia form four lakin nikiwaweka pamoja na ww unaweza sema Gea ana PhD ya mass communication then ww elim yako ya primary. ELIM ZETU ZITUTOFAUTISHE NA WA2 AMBAO HAWAJASOMA ON THE WAY WE ARE LIVING, SPEAKING & WRITTING THINGS. Hop we bi dada umenielewa hebu weka chet chako cjui n Makerere au Kampala university mana ACTION TALK LOUDER THAN WORDS.

No comments:

Post a Comment