Mwanamuziki wa kike wa RnB Cassie amelazimika kukimbizwa hospitali kutokana na kushikwa na maumivu makali ya tumbo kiasi cha kushindwa kuamka kitandani.
Muimbaji huyo wa label ya Bad Boy ametweet picha yake mwenyewe akiwa na drip mkononi aliyowekewa muda mfupi baada ya kufika hospitali.
Mitandao mingi inasema alikimbizwa hospitali lakini anaonekana alikuwa na nafuu wakati akitweet.
"This stomach virus is no joke! At least my sneakers match my IV, ametweet kuambatanisha picha hiyo juu.


No comments:
Post a Comment