Baada ya kuzunguka karibu mikoa yote kusaka vipaji vya kuimba, jumapili hii ya August 5, show za usahili za Bongo Star Search, zitaanza kurushwa kupitia ITV.
![]() |
Washiriki wa EBSS Dar wakipata maelekezo kadhaa mapema leo (August 2) \ |
Usahili huo unamalizia kufanyika jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa mwaka huu ataibuka na kitita cha shilingi milioni 50.
No comments:
Post a Comment