Kim Kardashian amepungua kilo kadhaa kutokana na kupigana sana mikasi na mpenzi wake Kanye West.
Nyota huyo wa reality show amepungua uzito katika kipindi kifupi na watu wa karibu wanaamini sababu ni kutumia muda mwingi wakifurahia kale ka mchezo.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la National Enquirer: "We jokingly refer to it as the sex diet. When one of us is having regular sex, that tends to burn calories and kill the appetite. Losing seven pounds in seven days means being a very naughty girl"
Hata hivyo Kanye anadaiwa kutofurahishwa na figa mpya ya Kim kwakuwa alipenda alivyokuwa mwanzo.
No comments:
Post a Comment