Friday, July 6, 2012

Kim Kardashian aagiza miguu ya chura badala ya kuku nchini Ufaransa





Kim Kardashian amelazimika kuchukua darasa la kifaransa ili kumfurahisha Kanye West pamoja na kutamka mambo muhimu akiwa Paris.

Chanzo kimoja kimeliambia gazeti la The Sun: “Kim alijikuta akiagiza miguu ya chura badala ya kuku alipoagiza chakula jijini Paris hivi karibuni lakini kwakuwa Kanye anakijua kifaransa vizuri aliweza kurekebisha mambo.”

“Sasa hivi ameanza kumfundisha maneno muhimu.”

No comments:

Post a Comment