Tuesday, August 21, 2012
Bi Kidude anaumwa, mjukuu wake alalamika kuwa hana msaada
Taarifa kutoka Zanzibar zinadai kuwa mwanamuziki mkongwe wa Taarab nchini Bi. Kidude anaumwa na hana msaada wowote.
Inadaiwa kuwa mjukuu wake alizungumza na televisheni ya Zanzibar na kulalamika kuwa bibi yake hana msaada na hivyo kumuuguza kwa shida.
Taarifa zaidi zinasema Bi. Kidude anaumwa tangu wiki iliyopita.
Where Have You Been ya Rihanna yafikisha views milioni 100+ ndani ya miezi minne
Rihanna ni mwanamuziki anayependwa zaidi pengine wa pili baada ya Beyonce duniani kama hatujakosea. Muziki wake umekuwa maarufu mno na bado anaendelea kufanya vizuri akiwa na miaka 24 tu.
Mafanikio yake yamemfanya kuwa miongoni mwa wasanii matajiri zaidi walio na umri wa chini ya miaka 30.
Leo hii anasherehekea mafanikio mengine ya kuwa na video iliyoangaliwa zaidi Youtube ndani ya miezi michache. Where Have You Been iliyopo kwenye albam yake ya Talk That Talk imeangaliwa zaidi ya mara milioni 100 ndani ya miezi minne.
Huenda Nicki Minaj akawa jaji mpya wa "American Idol"
Kuna tetesi kuwa Nicki Minaj ataungana na Mariah Carey kama jaji wa American Idol.
Kwenye mahojiano mahsusi mtandao wa Us Weekly umeripoti kuwa vyanzo vimethibitisha kuwa Nicki Minaj atakuwa jaji mpya wa shindano hilo.
Chanzo kimoja kimesema "Sina uhakika kama deal imekamilika tayari lakini ndio kuna uhakika kuwa atafanya. Kuna mambo kidogo ya kusaini na itakuwa hivyo.”
Chanzo kingine kimesema muimbaji huyo wa "Super Bass" ana asilimia 100 za kuwa jaji wa American Idol.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho kutoka Fox Network wala kwa Nicki Minaj, lakini vyanzo vinasema wapo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mikataba.
Msanii mwingine ambaye amekuwa akisemwa kujiunga na show hiyo kama jaji ni Pharrell Williams.
Nancy Sumari aanzisha website kwaajili ya mama
Nancy akiwa na mwanae Zuri |
Miss Tanzania mwaka 2005 Nancy Sumari ameanzisha website iitwayo www.mamazuri.com aliyoianzisha kutokana na kufurahia maisha kama mama.
Zuri |
“Idea hii niliipata baada ya kumpata Zuri, cause ninaenjoy sana maisha ya Umama na mtoto wangu anavyokua nazidi kujifunza vitu vingi zaidi,” ameaimbia Leotainment.
Zuri michezoni |
“So i have decided kuanzisha a mommy blog ambapo nitakua nashare experience zangu na Mama wengine pamoja na kuwashirikisha wazazi kushare experience zao na watoto hao, pia na vingine vingi kama Mommy Fashion, Baby Fashion, Good Schools, Nutrition na vinginevyo, to be able to share and learn from others as well.”
Nancy anafurahia maisha kama mama |
Kila lakheri Nancy.
Diamond aomba radhi kwa broken English iliyoandikwa kwenye website yake
Diamond ameamua kutokaa kimya kufuatia kosa lililofanyika kwenye website yake na kuomba radhi kupitia Facebook.
“So sorry guys dat wasnt my fault at all... ni matatizo yametokea tu kibinaadam toka kwa mtu anae control my ..”
Kosa hilo lilitokana na kichwa cha habari kilichoandikwa kwa Kiingereza broken kisemacho:
"If you does`t watching "Mkasi Show" on EATV click here to view"
Haya ni miongoni mwa maoni baada ya Diamond kuomba radhi:
James Real Jamy: Wory nt brooh we du understand dat! Coz english isn't our native language kk!
David Maina: sema kiingereza kigumu. wacha feeble excuses man
David Maina: yah i do understand but not on a public website which will obviously offend if not reach many.
Boby Cascaso: i noticed it immediately whn you typd bt i ddnt knw how 2 inform you,any way eng c lugha ye2 we r jst lrng it.
Sammy Rays: its alright bro our language is swahili , english is 4 foreigners
David Maina: nop aint gonna take it, there should be thorough editing as long as public communications are concerned. so the handler of the website aint compitent.
Joyce Charles: no one z perfct.. Trust..mi& take t easy... One love
David Maina: i think you pple u're not getting it. This is a mass public matter and the handler had the utter obligation to ensure sanity in his website. Any excuses is proof to how many so called professionals mishandle "public assets"
Monday, August 20, 2012
Music Monday // Lollapalooza 2012
Today is Music Monday, so that makes today a great day to post pictures from my road trip to Chicago for the music festival, Lollapalooza 2012.
Subscribe to:
Posts (Atom)