Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye Mb Dogg amerejea kwa kishindo kikubwa. Alikuwa nchini Ujerumani kwa muda mrefu na alikuwa akikaa na watu wake wa huko huku wakati mwingine akipiga show.
Kwa sasa amerejea kwa nguvu zaidi na kufungua studio yake mwenyewe iitwayo Makopa Inc, ambapo producer ni Villi.
Tumezungumza naye mengi kwenye interview iliyofanyika leo (June 4).
Isikilize hapa.
Isikilize ama kuidownload ngoma yake hapa.

No comments:
Post a Comment