Monday, April 30, 2012

Rihanna kuigiza adui (villain) kwenye Fast and the Furious 6!


Rihanna ataonekana kwenye toleo la sita la Fast and the Furious inayotarajiwa kuanza kufanyika mapema mwezi ujao.

A source said: “Rihanna impressed with her acting debut in Battleship.

Writers think she’ll be perfect for the role. Her character has plenty of bite and doesn’t take any prisoners — just like her in real life.

“It’s a step up the ladder for her and could lead to bigger action roles.”

Katika filamu hiyo Rihanna ataonekana akiindesha magari makubwa akiwa na Vin Diesel na Dwayne Johnson, aka The Rock, wakati series hiyo ya movie ikiendelea kufanyika katika maeneo tofauti tofauti duniani.

Hii ya sasa itafanyika London hivyo Rihanna atakuwa huko kwa muda akila bata na kuendelea kushoot vipande vyake

No comments:

Post a Comment