Friday, May 11, 2012

Madtraxx na Dj Stylez wa CodeRed wapewa shavu na BBC 1Xtra


Madtraxx na Dj mwenzake wa CodeRED, Dj Stylez jana wametua nchini Uingereza kabla ya kwenda kushiriki kwenye show maarufu zaidi nchini Uingereza kwa upande wa burudani katika studio za BBC 1Xtra.

Show hiyo huendeshwa na mtangazaji mkongwe Tim Westwood ambaye show yake imeshawahi kuwahoji wasanii wote wakubwa uwajuao wa Marekani na kwingine.

Cha kufurahisha kwa wakenya ni kuwa Westwood, aliicheza ngoma ya Madtraxx ItaWaiter inayofanya vizuri kwenye radio na clubs za Afrika Mashariki.




















Kama zawadi, nyota hao kutoka Kenya waliokuwa wameongozana na Victoria Kamani walimzawadia sanamu ya kimasai muingereza huyo na kumpa jina la " Wise Man Mfalme Westwood



Pictures and Story Courtesy of This is creme

No comments:

Post a Comment