Kwa wapenzi wa Big Brother jina la Sheila Kwamboka aka Kwambox sio geni. Alianza kujulikana mwaka 2006 aliposhinda taji la Miss Tourism Kenya. Baada ya hapo alifanya kazi kama ripota kwenye kituo cha runinga nchini humo mwaka 2008.
Mwaka huo huo akaiwakilisha Kenya kwenye Big Brother Africa na kisha kurejea tena mwaka 2010 kwenye Big Brother Allstars.
Kwa sasa anafanya muziki, muigizaji na muongozaji wa filamu.
No comments:
Post a Comment