Tuesday, July 10, 2012

Lady Gaga awapa zawadi nzuuuuuuuri mapaparazi



Lady Gaga alikuwa na zawadi poa ya kuwapa makanjanja waliokuwa wakimsubiria jana Airport.

Ile anashuka tu hivi mapaparazi wakakutana na kidole cha kati kikiwasubiri….lol!

Halafu wakati anaondoka kwa nyuma akawaacha hoi na tako lake lilikokuwa almost wazi kwa nguo aliyokuwa amevaa. Walichoka wenyewe!


It’s Gaga’s way of saying, “It’s good to be home.”

No comments:

Post a Comment