40 Glocc ni rapper kutoka California ambaye kwa muda mrefu amekuwa akimtukana The Game kwenye YouTube na kujaribu kumharibia.
Sasa kwenye video hii ni kama bahati tu Game akakutana na adui yake live kitaani (ndege tunduni) na kumpa kichapo ambacho hakika hatokisahau katika maisha yake.
Video haipo clear sana lakini ukiiangalia yote utaelewa kilichofanyika.
Imesambaa sana kwenye internet na 40 Glocc amesema hatofungua
mashtaka.
mashtaka.
No comments:
Post a Comment