Monday, May 14, 2012

Mastaa wazazi waliolipwa hela nyingi zaidi kwa kutumika kwa picha za watoto wao kwenye magazine

Hii ni list ya wazazi nane maarufu nchini Marekani katika muziki na filamu waliolipwa pesa nyingi zaidi ili picha za watoto wao waliozaliwa zitumike kwenye cover la magazine kwa mara ya kwanza kwa mujibu wa Forbes.


1. Max & Emme
Wazazi: Jenifer Lopez na Marc Anthony
People magazine
March 2008
Hela waliyolipwa: $6 million

2. Shiloh Nouvel
Wazazi: Angelina Jolie na Brad Pitt
People magazine
June 2006
Hela waliyilipwa: $4.1 million

3. Sare- Pax Thien (post-adoption)
Wazazi: Angelina Jolie na Brad Pitt
People magazinere
March 2007
Hela waliyolipwa: $2 million

3. Sare--Dannielynn
Wazazi: Anna Nicole Smith na Larry Birkhead
April 2007
OK! Magazine
Hela waliyolipwa: $2 million

5. Max
Wazazi:: Christina Aguilera and Jordan Bratman
People magazine
February 2008
Hela waliyolipwa: $1.5 million

6. Harlow Winter
Wazazi: Nicole Richie na Joel Madden
People magazine
February 2008
Hela waliyolipwa: $1 million

7. Kingston
Wazazi: Gwen Stefani na Gavin Rossdale
OK! Magazine
June 2006
Hela waliyolipwa: $575,000

8. Sean Preston
Wazazi: Britney Spears na Kevin Federline
People magazine
November 2005
Hela waliyolipwa: $500,000



No comments:

Post a Comment