Monday, May 14, 2012

Hilda na Julio na bata za mwisho mwisho

Pamoja na kuwa jana walitolewa rasmi kwenye Big Brother Africa, Julio, Hilda na Teclar bado wanamalizia malizia raha za Afrika kusini. 


Ukurasa maalum wa twitter wa Channel O umepost picha ya watatu hao na kuiwekea maelezo "Guess who we bumped into @BigBroAfrica #BBA7"


Wote wanaonekana wakiwa na furaha kuonesha kuwa wameshakubali matokeo na wako tayari kumove on.


Welcome back Hilda and Julio!

No comments:

Post a Comment