Suge Knight amefungua domo lake tena!
Na siku hizi kila akilifungua lazima liteme mambo mazito.
Wiki hii bonge huyu kaja na jipya!Eti….. Dr. Dre ‘punga’ whaaaaaaat! Man this time you are going too far!
Dr. Dre kaanza ushoga lini?
Kwa mujibu wa TMZ Mogul huyo wa zamani wa muziki amelipua issue hiyo kwenye interview ya radio na kuacha hapotoshi pande hizo.
Amesema alisikia mazungumzo kati ya Dre na Tupac enzi hizo.
"Tupac alisema”, “Nimechoka na mkutano huu. Dre wewe ni punga”
Ambapo kwa mujibu wa Suge, Dre akajibu: "Kwanza kabisa mimi sio punga. Mimi sio shoga, Mimi ni bi-sexual.
Kama nikitaka kupigwa mat***ko ntafanya na mwanamke”.
"Mimi ni bi-sexual kwasababu napenda kupigwa mat****ni”
Ndipo Suge alipomaliza kwa maneno haya . "Dre wewe ni punga”
Tuna wasiwasi kuwa hivi karibuni suala hili linaweza kupelekwa mahakamani na Dre.
No comments:
Post a Comment