Thursday, May 10, 2012

Omarion aachia single ya kwanza chini ya Maybach Music

 

Wiki iliyopita kulikuwa na habari hapa kuhusiana na Rick Ross kumsainisha Omarion katika label yake ya Maybach Music Group.

Mashambulizi yameshaanza kutoka kwa mwanamuziki huyo wa zamani wa kundi la B2K.

Ameachia ngoma inaitwa Body.



No comments:

Post a Comment