Rihanna amechukizwa na kitendo cha mpenzi wake wa zamani Chris Brown kumdiss na kuamu 'kumunfollow' kwenye twitter.
Alhamis hii Chris ametoa wimbo wa freestyle kwenye beat ya wimbo wa Kanye West Theraflu (aka 'Way Too Cold', aka 'Cold') na kumtukana msichana ambaye hakumtaja.
"Don't f**k with my old bi***es like a bad fur/ Every industry n**ga done had her/ Trick or treat like a pumpkin just to smash her/ Bi***es breaking codes, but I'm the password."
Hata saa moja haikupita baada ya Chris kuuweka wimbo huo kwenye akaunti Twitter, Rihanna akapost meseji hii: "Aw, poor dat #neaux1currrrr"
Baadaye imekuja kubainika kuwa Rihanna amejitoa kumfuata Chriss kwenye twitter licha ya kumtakia birthday njema siku chache zilizopita.
Muda kidogo Chris aliandika ujumbe akisema hakuna mtu aliyemtaja kwenye wimbo huo na kama kuna mtu amejiskia vibaya basi ni kwasababu ana hatia.
"Assumptions! I didn't say any names so if u took offense to it then it’s something you feel guilty about."
Hata hivyo ujumbe huo ameshaufuta kwenye twitter.

No comments:
Post a Comment