Sunday, May 13, 2012

Mastaa katika picha na mama zao kuadhimisha Mother's Day

The Kardashians walimchafua Mama yao kwa busu toka kwenye midomo yao miekundu
Luda ndani ya mjengo mkali akipiga story na Mama yake
Kelly Rowland na Mama yake
Sean Kingstone alipost tu picha ya Mama yake

Juelz Santana na Bi Mkubwa!

Justine Bieber aliamua kuandika wimbo mzuri kwa ajili ya kina mama wote duniani!


Happy Mother's Day!

No comments:

Post a Comment