![]() |
Very very happy! |
Penzi la Kanye West na Kim Kardashian linazidi kunoga haswaaa.
Weekend hii wapenzi hawa wameonekana pamoja mjini Los Angeles kuiingalia Lakers ikicheza.
![]() |
"Sitaki wasikie, I love you Kim"Muda wake mikono yao ilikuwa haiachani huku wakifurahia popcorn. |
Vicheko na mahaba mazito havikukauka. Huenda wakadumu hawa, ama sio guys?
Nani ajuaaye, lakini Kanye ameandika mistari kwenye track yake mpya akisema “ Nilikuona kwenye club ukiwa na gauni jeupe. Na sasa nataka kukuweka kwenye vazi jeupe”.
![]() |
"Jamani nichumu basiii" |
![]() |
Gangster Luv |
No comments:
Post a Comment