Lil Wayne amethibitisha kuwa amempiga chini mpenzi wake Dhea.
Ripoti zilizagaa jana kuwa mwanzilishi huyo wa Young Money amemwacha Dhea baada ya kuanzisha akaunti ya Twitter yeye mwenyewe na kushiriki kupiga picha mbaya kwenye jarida la wanaume.
Katika mtandao wa Tweeter Weezy amendika meseji ambayo inathibitisha tetesi hizo:
Hata Facebook ameandika maneno mengine yanayoipa uzito habari hiyo:





No comments:
Post a Comment