Wengi wanamfahamu Amber Rose. Mtoto mrembo ambaye kwa tabia yake ya kutembea na mastaa wa hip hop watu wamempa jina la ‘gold digger’.
Kanye West na Wiz Khalifa bila shaka wanaweza kulijibu la swali la kama katika tendo linalotumia 'kureproduce' binadamu duniani amejaaliwa pia!
Mtindo wake wa nywele ndio unampa identity yake. Nywele fupi zenye mwonekano wa blonde.
Warembo kadhaa akiwemo Jackline Wolper wamejaribu mtindo huo na mashallah, wanapendeza haswaa!
Lakini hebu piga picha mtoto Flaviana Matata naye akiamua kutoka blonde kwenye nywele zake fupi, atapendeza pia? Bahati mbaya hatuna fashion police lakini wewe unaweza kumjudge.
![]() |
"Naona aibu jamaaani" |
Unampa ngapi hapo?
No comments:
Post a Comment