Tuesday, May 8, 2012

Dar Live aliingia na Chopper, Glonecy 88 Morogoro atatinga na nini?


Mwezi uliopita Diamond alimake headline sana kwenye vyombo vya habari kwa kutua kwenye steji  ya Dar Live kwa kutumia chopper (helikopta).

Hiyo ilimwongezea maksi katika career ya muziki kuwa kwa sasa amedhamiria kufanya kazi.

Ijumaa hii ya tarehe 11, nyota  huyo wa Lala Salama, anatua mji kasoro bahari kuangusha show nyingine matata akiwa na stage show wake.



















Kama Morogoro kungekuwa na bahari bila shaka angefikiria kupiga ‘stunt’ nyingine tena.

Labda angetafuta speed boat moja private na kuyakata mawimbi ya bahari ya Hindi.

Bahati mbaya Morogoro ni mji kasoro bahari.



Kama kawa,kijana anaendelea kuitunisha akaunti yake kwa show zinazofuata kama Bibi na Bwana Kumbikumbi.Wakati akiwa Morogoro,Diamond anaendelea pia na show za ziara ya washindi wa tuzo za Kili nchi nzima.

No comments:

Post a Comment