Tuesday, May 8, 2012

Beyonce kama hanyonyeshi vile!


Ilikuwa ngumu kuamini kwa kuliangalia umbo lake kwamba Beyonce ni Mama wa mtoto mchanga wa kike Blue Ivy Carter.

Beyonce ambaye hivi karibuni ametajwa kama mwanamke mrembo zaidi duniani, alipendeza balaa kwenye red carpet ya Met Gala.

Cha kumpongeza zaidi Beyonce ni kile alicholiambia jarida la PEOPLE kuwa hutengeneza nywele mwenyewe, makeup na kukata nywele anapotaka kutoka kama hivyo.








Damn Jay-Z! unafaidi aisee….

No comments:

Post a Comment