Monday, May 7, 2012

Alicia Keys na Swizz Beatz wamekuza mtoto!


Salute!
Alicia Keys na mumewe Swizz Beatz walikuwa pamoja na mtoto wao Egypt katika uwanja wa Madison Square Garden kushuhudia timu waipendayo ya New York Knicks.


Na familia ya Bwana Swizz haikuwa nyuma kumswaggisha kijana wao sare za pamba za Jeremy Scott Adidas na bandana ya blue! Swaag!


Alicia aliolewa na Swizz mwenye watoto wanne wa mama wanne tofauti mwaka jana.



Kofia ya Baba!


No comments:

Post a Comment