Oooyesss Blogs
Sunday, June 17, 2012
Video: Baadhi ya matukio EBSS Dodoma
Usaili wa Bongo Star Search Mjini Dodoma umemalizika Jumapili hii. Baada ya kumalizika kwake crew nzima na watu wengine ilihamia kwenye show ya pamoja ya WAKAWAKA/EBSS hapo hapo Royal Village.
Haya ni baadhi ya matukio yaliyoendelea mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment