Sunday, August 5, 2012

One the Incredible afikiria kuandika kitabu



Rapper anayeheshimika kwa uandishi mkali wa mashairi ya hip-hop nchini Tanzania, One the Incredible amesema anafikiria kuandika kitabu kinachomhusu baba yake.

“Thnking of writing a book named "MY DAD IS A HERO" Thanx dad... Ur the best,” ameandika leo kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Harry Kaale hivi karibuni amejipatia sifa kubwa baada ya kutengeneza beat ya wimbo mpya wa Izzo B, Utarudishwa.

Wazo la kuandika kitabu pia analo rapper Webiro 'Wakazi' Wassira ‎ ambaye ameandika chini ya post ya One, “Harry Kaale im writing a book too, bout Dad but the title is different.”

No comments:

Post a Comment