Wajanja wa Tanga Jumamosi hii wana kila sababu ya kufurahia weekend yao kwa shavu la Vodacom.
Kwenye Uwanja wa Tanga pataangushwa bonge la show kutoka kwa Diamond, FidQ,Mabeste, Sheetah, Ommy Dimples na Nay wa Mitego!
Wiki iliyopita mjini Mtwara Fid ndiye aliyepoteza, so kwa Tanga siju itakuaje!
Ni katika ile show ya Kijanja zaidi ya Vodacom Wajanja Music Tour.Show ni BURE kwa Wajanja wote wa Tanga! Kazi ni Kwako!

No comments:
Post a Comment