Friday, July 13, 2012

Chris Brown amshauri Rihanna kupunguza kujirusha



Pamoja na kuachana Chris Brown bado anamtakia mema Rihanna.

Na sasa amemshauri Rihanna kuachana na tabia yake ya ulevi na kujirusha ambayo anasema itamfanya aishie kufa kama Amy Winehouse.

Breezy, anadaiwa kumtumia meseji mpenzi wake huyo wa zamani akimtaka kupunguza kupiga mtungi.

Rihanna mwenye miaka 24, alionekana kwenye picha akinywa bia siku moja baada ya mazishi ya biibi yake na wakati akiwa mapumzikoni nchini Barbados wiki hii huku akivuta sigara pia.

Rafiki wa Chris aliuambia mtandao wa HollywoodLife.com: "Chris was really, really worried about her when he heard she was up drinking and partying by herself.
"So he just wanted to reach out to her and show a little support, you know?




Amesema Chris aliamua kumtumia meseji kumuambia aache kunywa pombe lakini Rihanna hajajibu.


No comments:

Post a Comment